Chuma Blog
Wakati Prezzo akilaumiwa kwa kuuvunja moyo wa mwanadada Goldie
wa Nigeria baada ya uhusiano wao uliodumu kwa wiki chache ndani ya BBA kuvunjika, Hamis Mwinjuma
aka MwanaFA ameibuka na kumuunga mkono Prezzo.
Prezzo na Zainab |
Tangu Zainab (Sierra Leone) alipotolewa Downville na kuingizwa Upville,
mambo yalianza kuwa magumu kati ya Prezzo na Goldie, na MwanaFa anasema hata kama
angekuwa yeye asingelaza damu kwa Zainab.
“Me and Prezzo have this one in common..if i was in the BBA
house,i would have been after Zainab..kabisa!!” alitweet MwanaFA.
Zainab |
Kutokana na Prezzo kuanzisha ukaribu na Zainab, Goldie
amegeuka mpweke kwa kususa kula na hata kuhofiwa anaweza akataka kujiua.
No comments:
Post a Comment