Chuma Blog
Mwezi wa sita na wa tano ni miezi maarufu kwa mavuno ya
mpunga. Miongoni mwa wakulima hao wa mpunga si mwingine ni Masanja Mkandamiza
kwa Original Comedy.
Aliamua kuchukua gari yake ndogo na kudrive hadi Mbarali
kwenda kuvuna mpunga.
“Najiandaa kuingia shamba la mpunga Mbarali mwanawane! Kazi
asubuhi asubuhi! Jioni unajilia vyako.” Alitweet kuambatanisha na picha.
“Fyeka sana mpunga mwanawane! Tule wapi sasa?” ni aliongeza
na kumalizia kwa kuandika, “Nimesema kumekucha! Shambani Mbarali! Pipooo! Kazi
ni kazi!”
No comments:
Post a Comment