Chuma Blog
Baada ya kumtakia siku yake ya kuzaliwa alinigusia kitu muimu sana ambacho nilikuwa nakingojea kwa muda mrefu sana, ni kutokana na yeye kuwa kimya sana? kwani alinijibu na kuniambia kuwa alikuwa anajipanga na sasa anakuja kivingine zaidi kwani ukiona mtu yupo kimya kunakitu anajipanga nacho.
Alizidi kufunguka na kuniambia kuwa leo hii ndio ataachia nyimbo yake mpya ambayo kafanya na Dully sykes
Msanii wa Bongo flava "SAMIR" |
Alizidi kufunguka na kuniambia kuwa leo hii ndio ataachia nyimbo yake mpya ambayo kafanya na Dully sykes
No comments:
Post a Comment