Tuesday, May 29, 2012

KESI YA LULU YAPELEKWA MBELE , KUSIKILIZWA MWEZI JUNE 11 2012.



Chuma Blog
Pichani Juu na Chini ni Msanii wa Filamu nchini Elizabeth Michael (Lulu) akifikishwa Mahakamani juu ya shitaka linalomkabili la Mauaji ya aliyekuwa Msanii mwenza wa Filamu Steven Kanumba. 


Elizabeth Michael a.k.a LULU akiwa chini ya Ulinzi mkali kuelekea chumba cha Mahakama.
LULU akiwa ndani ya Mahakama akisubiri kuanza kusikilizwa kwa kesi yake ambayo imeahirishwa hadi tarehe 11 June, 2012.
LULU akitoka Mahakamani.
Basi la Magereza lililombeba LULU na washitakiwa wengine likiondoka Mahakamani. 
(Picha Geofrey Mwakibete MO BLOG).

No comments:

Post a Comment