Tuesday, May 29, 2012
CMpoo toka pande za Ungalimi chugatown...
Chuma Blog
CMpoo,hiphop
Mc mwenye makazi yake pande za Ungalimi chugatown,anakuja na pini
mbili mpya,"round hii Mc's nawapa Hiphop & Ragga Joint nilzopiga
pande za noizmekah.com,track
ya voicemail ni mkono wa Moscow na mixing kasmamia Defxtro,na pini la
"who ni next" ni ragga riddim nimerecord noiz juu ya beat la
kijamaica,Mbali na music napiga artwork mtaa,Graffitti na signwork
katika business area mbalimbali kama maduka na mabango,music ni passion
yangu japo hailipi bado ila mipango yangu ya hivi karibuni ni kuigiza
filamu,Big up kwa fans wangu na wadau wote katika game la hiphop!!!!...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment