New Song: Adam Kanyama - A till K
Chuma Blog
Adam Kanyama (born 1995) rapper na mwandishi wa nyimbo ambaye amekulia huko Norsborg,Stockholm Sweden. Mama yake ni mswedish lakini baba yake ni Mtanzania. Dogo ameanza kuchana tangu akiwa na miaka 11 na alikuwa kwenye kundi liitwalo "The Basicz" akiwa na Jordan Peltier na Chris Kipa.
No comments:
Post a Comment