Monday, April 23, 2012

"Exclusive" Song: Nisher - SO FRESH

Chuma Blog
Nisher ni ya ama Nic Davie ( 1989 )
Huyu ni producer, mwandishi wa nyimbo,mmiliki wa studio ya kurekodi muziki mjini Arusha na muongozaji wa video za muziki. Alianza muziki tangu mwaka 2000. Aliamua kwenda Marekani mwaka 2005 kusomea masuala muziki na Televisheni. Ana record lebo yake mwenyewe iitwayo NISHER ENTERTAINMENT yenye makazi yake Arusha.

No comments:

Post a Comment