Wednesday, February 22, 2012

AMABNI YATAWALA KATIKA YA SUGU NA RUGE

Chuma Blog
Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi na Mkurugenzi wa Clouds Media Rugemalila Mutahaba wakipeana mikono leo jijini Dar es Salaam ikiwa ni ishara ya kupatana na kumaliza kwa tofauti zao zilizotokana na sababu za kimuziki zilizodumu kwa muda wa miaka miwili.


Story na Sophie Kessy

No comments:

Post a Comment