Tuesday, January 3, 2012

NEW SONG 2012, C-SIR MADINI - NISHIKE MKONO

Heri ya mwaka mpya mdau,

Tetemesha Recordz inayo furaha kuuanza mwaka 2012 kwa kutambulisha wimbo mpya wa C-SIR MADINI  unaitwa NISHIKE MKONO.  Wimbo huu ni mwendelezo wa love story ya wimbo uliopita wa C-SIR unaoitwa KIFUNGO HURU. Video ya NISHIKE MKONO  itafuata baadae. Thanx for ur support na tunaamini utaendelea na moyo huo na sisi tunaahidi kuendelea kufanya kazi bora.

CREDITS
Track Name: NISHIKE MKONO
Artist: C-SIR MADINI
lyrics composed by: C-SIR MADINI & KID BWOY
arranged by: C-SIR MADINI
Produced by: KID BWOY
Mixed by: KID BWOY
Studio: TETEMESHA RECORDZ
JANUARY 2012

contacts: C-sir Madini +255 712 719004



No comments:

Post a Comment