Tuesday, January 10, 2012

MKASI TV WEBSITE IS ON SO SANUKA


Pindi la Mkasi la kijanjalinalooneshwa na EATV kila Jumatatu saa 3 na nusu usiku,chini ya Prezenta Mkaree Salama J,Imeanzisha website yake maalum ambapo zimetupiwa clips ambazo zimekwenda kwa hewa za interviewz za celebz kibao wa bongo....Kong'otea na ukae humo....http://mkasi.tv/

No comments:

Post a Comment