Tuesday, January 10, 2012

BASATA YAONYA MAPROMOTA WABABAISHAJI


Mkurugenzi Idara ya Ukuzaji Sanaa BASATA, Vivian Nsao Shalua  akizungumza na wadau wa Sanaa katika Jukwaa la Sanaa linalofanyika kila wiki makao makuu ya Baraza hilo. Kulia ni Afisa Habari wa BASATA Aristide Kwizela.

 
Mdau wa Sanaa akichangia kwa hisia kali wakati wa mjadala uliohusu matukio na matamasha mbalimbali ya Sanaa na Burudani nchini kwenye Jukwaa la Sanaa.


Mkurugenzi wa Idara ya Mfuko na Uwezeshaji, BASATA Angelo Luhala aksisitiza jambo…

No comments:

Post a Comment