Thursday, January 12, 2012

Magazeti kila siku ni story za WEMA na DIAMOND

Djchoka
Magazeti kila siku ni story za WEMA na DIAMOND wakati huku mtaani kwetu kuna vitu vingi vyakuzungumzia....

· · 4 hours ago via BlackBerry · 
You, Djchoka MrApetite and 33 others like this

    • Redbutterfly Chelsea Wanajali chapaa dat y,as i can c magazet ya dizain hyo hayaitaji kujua matatizo ya jamii yetu,kaz kufuatilia leo huyu kafanya hiv kesho kafanya vile!na wengine wanafind u_superstar kwa nguvu,its disgustin

No comments:

Post a Comment