Thursday, January 12, 2012

ARTIST NAETO C WA NIGERIA ATANGAZA NDOA


Rap star toka Nigeria,Naeto C amemtambulisha wife wake 2 b,Nicole Chukwueke kwenye sherehe ya kimila ikiwa ni maandalizi ya ndoa yao itakayofanyika mwaka huu wa 2012

Naeto C anatamba na ngoma ya Ten Over Ten,alisoma shule moja na mchumba wake huyo Nicole na wanatarajiwa kufunga ndoa baadaye mwaka huu

No comments:

Post a Comment