
Aliyekuwa mmoja mwakilishi wa Uganda kwenye Big Brother Amplified – 2011,na Member wa zamani wa kundi la Obsession,Sharon Salmon amepata deal baada ya crew toka Channel O kutengeneza documentary yake inayohusu 'life after BBA' na kuzungumzia uzuri wa nchi ya Uganda aka The Pearl of Africa

SHARON ENZI ZA BBA AMPLIFIED - 2011
Sharon alipata shs milioni 26 kama kifuta jasho kwa kuingia fainali ya BBA-2011.Na documentary hiyo ilitazamiwa kuoneshwa na Channel O,siku ya Jumapili wakati nchi ya Uganda ilipokua ikitimiza miaka 49 ya Uhuru
No comments:
Post a Comment