Saturday, October 22, 2011

SAUTI ZA BUSARA - 2012 KUFANYIKA



Tamasha la 9 la Sauti za Busara music festival litafanyika Stone Town, Zanzibar kuanzia tarehe 8 mpaka 12 February 2012

Sauti za Busara huunganisha watu pamoja na kusherekea mziki wa afrika na kwengineko na siku ya ufunguzi kutakua na Carnival Street Parade pamoja na Beni Brass band,Ngoma ya Mwanandege,Sarakasi na vyakula vya asili,mavazi,pamoja na mapambo vitauzwa kwenye tamasha hilo na mpaka sasa wasanii kadhaa wamethibitisha kushiriki Sauti za Busara 2012 Kuanzia

Super Mazembe (DRC/Kenya),Ally Kiba (Tanzania),Nneka (Nigeria),Tumi & The Volume (South Africa),Ary Morais (Cape Verde),Companhia Nacional de Canto e Danca (Mozambique),EJ von Lyrik (South Africa),Tausi Women’s Taarab (Zanzibar), Ndere Troupe (Uganda),Lumumba Theatre Group (Tanzania),Ogoya Nengo (Kenya),Chebli Msaidie (Comoros),Kozman Ti Dalon (Reunion), Teba Shumba (South Africa),Skuli ya Kiongoni (Zanzibar),Kidumbaki JKU (Zanzibar),Utamaduni JKU (Zanzibar),Shirikisho Sanaa (Zanzibar),Seven Survivor (Tanzania),Tunaweza Band (Tanzania), Hanitra (Madagascar),Jembe ulture Group (Tanzania),Leo Mkanvia (Tanzania),Swahili Vibes Band (Zanzibar),Qwela (Uganda),Tandaa Traditional Group (Zanzibar),Wanafunzi wa SOS (Zanzibar) na wengine kibao

No comments:

Post a Comment