Saturday, October 22, 2011

KURA ZA MAONI PAM AWARDS - 2011


Wakati tuzo za Pearl of Africa Awards aka PAM Awards – 2011zinatarajiwa kufanyika tarehe 5 Nov 2011 nchini Uganda,Lakini mpaka sasa Msanii Angella Kalule anayetamba na ngoma yake ya Katikitiki anaongoza kwa kura za maoni za kuchaguliwa kuwa,Artiste of the Year na Song of the Year

KURA ZA MAONI
 
Angella Kalule mpaka sasa amewapiga chini big name artist kwenye music industry ya Uganda kama Jose Chameleone,Bebe Cool na Iryn Namubiru ambao walichukua tuzo hizo kwenye tuzo zilizopita.

No comments:

Post a Comment