Tuesday, October 25, 2011

MOJA AUWAWA,,15 WAJERUHIWA. NAIROBI-KENYA


NAIROBI CITY
Kumetoa mlipuko mwingine jijini Nairobi,Jumatatu usiku kwenye Pub pande Mfangano Street na kuua mtu 1 na wengi 15 wamejeruhiwa na kupelekwa Kenyatta National Hospital (KNH) kwa matibabu zaidi,ikiwa ni masaa 24 tu baada ya mlipuko wa kwanza uliotokea Jumapili usiku na kujeruhi zaidi ya watu 14

MAJERUHI PANDE ZA KENYATTA NAIROBI HOSPITAL
Kati ya watu hao 15 waliojeruhiwa,2 kati yao wana hali mbaya na mashuhuda walisema kuwa mlipuko huo ulitokea saa 2 usiku,wakati raia wakipanda matatu kurejea majumbani na baada ya kutokea mlipuko huo mkubwa wengi walidhani ni pancha lakini kumbe lilikua ni bomu la kutupa mkono

No comments:

Post a Comment