Stamina baada ya kusikia kazi za GQ yambidi kumtafuta na kufanya kazi nae.GQ alisema kuwa amefurahi kufanya na stamina kwani anaweza sana na pia ni mtu ambae anamkubali kwenye game kwa sasa. Vilevile aliongeza, angependa kufanya kazi na wasanii wengine zaidi na anawakaribisha wote ambao wapo tayari kwa hilo ndani ya TUFF RECORDS Morogoro.

hahahahah BIG UP GQ bana hiyoo ndo moror bana asikwambie mtu kila kipaji kinapatikana much respect kwa manager wa TUFF RECORDS tunkupa n saport saaaan na tunaamini utainua vipaji zaid na zaid banaMUNGU IBARIKI MORO MUNGU IBARIK TANZANIA BANA
ReplyDeletehahahah hapa MWEMBA BURTON bana kazina vipaji tumevikubali bana toka ndani ya TUFF RECORDS BANA big up GQ kwa kuipeleka morozaid na zaid bana ONE LOVE PAMOJA SAAANA
ReplyDelete