Tuesday, September 20, 2011

New Song: Kleanheart "Chemchem za kisani"

Ni msanii wa Hiphop/RnB kutoka pwani ya Kenya mjini Malindi ninayekwenda kwa jina Kleanheart ama ukipenda waeza kuniita kisima cha mistari.Nimekuwa kwenye safu ya mziki tangu mwaka wa tisini na saba mpaka sasa huku nikikomaza mziki wa hiphop na RnB.Chemchem za Kisanii ni mnanda uliopitia kwenye mkono wa Producer Sadiking wa Buja Records Nairobi.Nanuiya kuzinduwa Album yangu itwayo (Mraibu Wa Vina) nikiwashirikisha wasani kama G.R.A,JIX,Baby Moe na Gaza. 
Kleanheart -Chemchem za kisani
Listen and Download for promo ONLY

No comments:

Post a Comment