 |
Diamond Platnumz |
Kwani ata
BFL tunakasilishwa sana na tabia hiyo ambyo nathani sio sahihi kabisa katika kujenga sanaa ya Bongo.
Face Book New: DIAMOND" Dah nachukia sana hawa watu wanaotumia majina ya watu kufungulia account kwenye facebook... mfano huyu anaetumia jina langu halaf anachezea watu akili eti leo ni birthday yangu..mbaya zaidi kila kukicha anaeka status za kunidharirisha..
No comments:
Post a Comment