Sunday, September 18, 2011

MALFRED KESHO KUACHIA VIDEO MPYA INAYOITWA "MREMBO"

MAIFRED
Wiki iliyopita niliitambulisha bils na sasa ni katika tv,hii ninatoa kwa upandeji wa video tu naamisha mrembo,next week ninafanya video mpya na jamaa kutoka Denmark anaitwa Alec Burton video ya wimbo wangu mpya unaitwa Poyoyo ambayo itakuwa sinle ya pili kuiachia audio yake baada ya Kudadaeki,nina album ambayo ipo tayari kila kitu na sasa ipo katika hatua zakumalizia artwork yake tayari kwakuiingza sokoni mwaka huu sijapanga mwezi bado.

No comments:

Post a Comment