Saturday, September 10, 2011

"DAYNA" AZIDI KUJIWEKA KATIKA NAFASI NZURI

DAYNA
FACEBOOK NEWS: Mambo hp umeitikia pouwa!! Mpendwa fanya kutuma herufi RC kwenda namba15050 na ufanye wimbo wa Dayna "Fimbo ya mapenzi" kuwa mlio pindi upigiwapo cm ukifanya ivyo utakuwa umehusika sana kusupport kazi zangu huduma hii ni kwa watumiaji wa tigo... Ahsante.

No comments:

Post a Comment