Baghidad aacha utangazaji na kufanya mziki

Mwanamuziki kutoka kundi la Mexicana Lacavera Praygod Kweka maarufu kama Baghidad au Biggie au Baba Ritta pia aliyekuwa presenter katika kipindi cha Klabu kumi cha Clouse Fm kilichokuwa kikirushwa kila juma mosi. ametangaza rasmi kuachana na kazi ya Presenter na kujikita zaidi kwenye muziki.
Msanii huyo alinieleza kwa ufupi kwamba hatoweza tena kuendelea na utangazaji, lakini hakusema kwanini amefanya hivyo ila aliishia kwamba kwa sasa ni msanii na wala hausiki na utangazaji.
''Niko mbioni kuikamilisha mikakati ya kufanya video ya Full Ng'ae Ng'ae na tym hii nimetoka studio ya Mexicana Lacavela kufanya rmx yake ambayo ni kali zaidi ya Original, ndani kuna vichwa kama Scoda, Fidodido, Climax, Baghdad, Okey, na dogo mmoja ambae alikuja akaikutia ngoma mwishoni akataka atie sauti anaitwa Shinvoooo.......''
sooon mzigo utakuwa hewani stay tune kwa video, na rmx.
No comments:
Post a Comment