Saturday, September 10, 2011

BFL "Inawapa pole wale wote waliofikwa na mahafa

BREKING NYUUUZ: ABIRIA 610 wahofiwa kufa baada ya Meli ya LCT Spice Islanders kuzama mkondo wa Nungwi ikielekea pemba usiku kuamkia leo.Meli ya LCT Spice Islanders ikiwa imezama Pwani ya Nungwi. Picha na mdau Ahmed Muhamed Ahmed wa Zanzinet

2 comments: