Baada ya kuonesha vitu adimu ambavyo havikuoneshwa na staa yeyote kati ya waliomtangulia, wageni waalikwa walishangilia na kupiga makofi hadi aliporejea sehemu aliyokaa awali.
Saturday, April 6, 2013
MAUNO YA WOLPER WOLPER YAWACHENGUA WATU UKUMBINI
BONGO DAWN TOWN
VIUNO
alivyokatika staa maarufu wa filamu, Jacqueline Wolper viliwachengua ile
mbaya watu waliohudhuria harusi ya wasanii maarufu wa Bongo Movies, Jimmy
Mafufu na Idrissa Makupa ‘Kupa’.Tukio hilo lilitokea hivi karibuni katika Ukumbi wa Urafiki uliopo Ubungo,
jijini Dar baada ya wasanii kwenda mbele ya ukumbi kwa zamu na kuonyesha
uhodari wa kuyarudi mangoma ambapo ilipofika zamu ya Wolper, alionekana
kuwazidi wenzake kwa utundu wa kucheza.
Baada ya kuonesha vitu adimu ambavyo havikuoneshwa na staa yeyote kati ya waliomtangulia, wageni waalikwa walishangilia na kupiga makofi hadi aliporejea sehemu aliyokaa awali.
Baada ya kuonesha vitu adimu ambavyo havikuoneshwa na staa yeyote kati ya waliomtangulia, wageni waalikwa walishangilia na kupiga makofi hadi aliporejea sehemu aliyokaa awali.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment