Chuma Blog
Kigoma
All Stars MWASITI, BANANA ZORO, CHEGE, DIAMOND, ABDU KIBA, OMMY
DIMPOZ, RECHO, LINEX, BABA LEVO, MAKOMANDO NA PETER MSECHU.
Dhumuni
na nia ya kutengeneza wimbo huu ni kuweka umoja wa watu wa kigoma na
tanzania kwa ujumla. Pia watafanya show ndani ya kigoma wiki ijayo kwa
ajili ya kusaidia wanafunzi na yatima ndani ya kigoma.
No comments:
Post a Comment