Chuma Blog
Ni wimbo mfupi sana haufiki hata dakika mbili lakini ukiuskiliza
utatamani kama ukikutana naye umwambie aungeze uwe na hata dakika nne hivi.
Muda mfupi uliopita kupitia Twitter msanii wa Tanzania
aishie Wichita, Kansas, Marekani Stanboi amesambaza remix yake ya wimbo maarufu
sana wa Gyptian Hold Yah!
No comments:
Post a Comment