Friday, June 22, 2012

NIMERUDI TENA

Chuma Blog
 Natumai wengi wenu meona kama nimekuwa kimya sana kwa wiki hii, nilikuwa na safari ndefu ya kwenda DODOMA na kuelekea KONDOA hadi MANYARA kutokea KITETO,GAIRO na kuja MOROGORO,Ni bonge la safari..

No comments:

Post a Comment