Friday, June 22, 2012

DOGO JANJA ARUDI DAR KWA KISHINDO

Chuma Blog

Siku chache baada ya kuondolewa ndani ya kundi la Tip Tipo Connection, staa wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Abdul Abubakar Chende ‘Dogo Janja’ ametua Bongo Muda mfupi uliopita akitokea A-town (Arusha).

No comments:

Post a Comment