
Meneja Masoko wa TBL,Mamongae Mahlare akizungumza na vyombo vya habari mapema leo asubuhi wakati wa hafla fupi ya kutangaza majina ya wanamuziki watakaowania tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Award 2012 iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.

Meneja wa Bia ya Kilimanjaro,George Kavishe akizungumza na vyombo vya habari mapema leo asubuhi wakati wa hafla fupi ya kutangaza majina ya wanamuziki watakaowania tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Award 2012 iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.

Mratibu wa tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards ambaye pia ni mwakilishi wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA),Angelo Luhala (katikati) akionyesha karatasi yenye majina ya washiriki wanaowania tuzo hizo leo jijini Dar es Salaam.Kulia ni Meneja wa Bia ya Kilimanjaro,George Kavishe na Kulia ni Afisa kutoka Kampuni ya Innovex ambao ndio wanaoandaa majina hayo ya wasanii.Yafuatayo hapo chini ni majina ya washiriki na Categories zao
No comments:
Post a Comment