Wednesday, February 1, 2012

P-FUNK MAJANI ATARAJIWA KUFANYA KAZI NA WASANII WA KIMAREKANI ATAANZA NA J-COLE

Mtayarishaji wa muziki  wa kizazi kipya,P-Funk – aka majani amesema kwa sasa yuko katika mipango ya kufanya kazi na wasaniiwa kimataifa akizungumza jana na pro-24,amesema kwanza atafanya kazi na wasanii wan ne kutoka marekani.wimbo wa kwanza natarajia kufanya na J-cole anayetumia lebo ya Jay Z Ila nitakuwa nikifyatua kazi za wasanii wa kimataifa kila mwezi.Aidha amesema kwa hapa nchini msanii chid benz ameshakamiliasha albamu yake na wako katika hatua za mwisho kuingiza albamu hiyo sokoni..

Kuhusu taarifa za kuanzisha kampuni ya kurekodi video amesema yeye hataki kujihusisha na video bali ataendelea na kuandaa kazi za audio peke yake..aliongeza kwa kusema “huwezi ukawa mchezaji wa michezo miwili tofauti na ukawezakufanya vyema ni sawasawa na wahenga kusema mshika mawili moja humponyoka”..

No comments:

Post a Comment