Monday, February 6, 2012

LINNAH AISHUKURU FAMILIA YAKE

Chuma Blog

Msanii wa kizazi kipya ajulikanaye kwa jina la Linnah Sanga a.k.a Linnah akiwa na wazazi wake Bw&Bibi Sanga pamoja na rafiki yake ajuliakanaye kwa jina la Lulu (wa kwanza kulia aliyemkumbatia mama Linnah) nyumbani kwao jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment