Wednesday, January 25, 2012

DULLY SYKES na MKWANJA ANAOPOKEA KWA SHOW!

 
Siku kadhaa baada ya single ya biberon kuwa talk of the town, mwimbaji Dully sykes ameweka wazi kwamba japo kitu kinafly high, bado hajapata shows zozote kutokana na biberon.

 Dully ametangaza rasmi kushusha bei ya show zake kuanzia leo kwa muda wa miezi miwili ijayo.

sababu kubwa ya kufanya hivyo ni miezi hii kuwa mibaya kifedha, hivyo kutoka milioni tano aliyokua anataka kwa show moja, sasa anakubali mpaka milioni 3.5 kwa show moja.

No comments:

Post a Comment