Nimepata message zenu nyingi kupitia simu na facebook, nami nawamiss pia sana tuuuu!
Tangu tarehe 24 ya mwezi wa January 2012, niliamua mwenyewe kupumzika kazi ktk kituo cha redio nilichokitumikia kwa muda wa miaka nane.Kwasasa nipo nipo sana kwenye shughuli zangu za biashara mpaka mipango mingine itakapokamilika hope mtaniskia tena redioni kama kawa.
Tusubiri tuone kitakachofuata, Nawakaribisha sana DIDA CLASSIC BOUTIQUE
See you soon!!
See you soon!!
No comments:
Post a Comment