

Kwa story za juu juu nilizozipata ni kuwa wakati Diamond akishoot video ya mawazo na mwanadafada Jokate, walifanya ile kitu ya amri ya sita tulionyimwa mpaka tuoe na kuolewa, na wema sepetu aliwafuma wakilana denda live katika eneo hilo...sina uhakika zaidi lakini haya ni maneno na sauti ya wema akiongelea swala hilo
Kila kitu kinachoendelea kati ya hawa mabinti mara nyingi nimekuwa nahesabu ni utoto , na wakikua wataacha.... Mke anayejiamini huwa hapigi kelele.
ReplyDelete