Thursday, December 29, 2011

Ray kupumzika uigizaji


STAA mwenye jina kubwa Bongo, Vincent Honorat Kigosi ‘Ray’ ametangaza kupumzika kuigiza filamu kwa muda usioeleweka ili kupisha nafasi kwa wasanii wengine ikiwa ni utaratibu wa Kampuni ya RJ.
Habari zilizotua  mwishoni mwa wiki iliyopita, zilidai kuwa Ray ambaye ni mkurugenzi wa kampuni hiyo ameamua kufanya hivyo ili kupumzisha akili na kujipanga kwa ubunifu mpya wa kazi zake.
“Kama alivyokuwa amepumzika Johari, naye ameamua kufanya hivyo japo hajasema ni kwa muda gani,” alisema mmoja wa wafanyakazi wa kampuni hiyo kwa sharti la kutotajwa gazetini.
Mwandishi wetu alipomuuliza msanii huyo kwa njia ya simu kama habari hizo ni za kweli, alikiri na kusema:

No comments:

Post a Comment