Wednesday, December 21, 2011

MWENGE NA TEGETA NDIVO PALIVO SASA


Huu ndio msongamano wa magari uliopo baaya magari kuzuiwa kupita katika daraja hilo


Sehemu ya daraja yenye ufa Upande wa daraja uliolika na kingo zake zikiwa zimeharika
Wakazi wakitembea kwa miguu kukatiza daraja kwenda upande wa pili ili wapate usafiri




Daraja likiwa limewekwa kizuizi Sehemu ya Daraja likiwa inaonekana kingo iliyomeguka
Baadhi ya magari yaendayo Tegeta, Bunju na bagamyo yakiwa yameguza baada ya kushindwa kupita kwenye daraja hilo

Baadhi ya wakazi wakiwa wanapishana katika daraja hilo.

No comments:

Post a Comment