MAFURIKO YAUA WATU ZAIDI YA SITA, YAHARIBU MALI LUKUKI
MVUA ambazo zimeendelea kunyesha kwa siku ya pili sehemu mbalimbali nch... Miongoni mwa maafa hayo hadi tunakwenda mtamboni ni vifo vya watu sita ambao walitajwa rasmi na mamlaka za jiji na nyumba nyingi ambazo zimeharibiwa vibaya na watu kupoteza mali zao.
kwa Habari zaidi Tembelea: http://www.globalpublishers.info/
No comments:
Post a Comment