
Leo hii, msaa matatu yaliyopita,mke wa msanii Jcb (Diana) amejifungua mtoto wa kiume.
" ni kweli aisee amejifungua mtoto wa kiume ndio nishakua baba flani, jina mpaka saa hii sijampatia ila litakuwa la kawaida tu, nafikiria kumpa jina la babu yangu" amesema JCB.
Hongera sana jombaa, mlee kijana
No comments:
Post a Comment