Mwanamuziki Afande Sele ambaye alishawahi kuwa bingwa wa Rymes mwaka 2003 ,yuko katika harakati za mwisho mwisho kuachia albamu yake mpya ambayo itakuwa ni ya tano.Albamu hiyo ambayo ameibatiza kwa jina Kingdom ina nyimbo 12 na kati ya nyimbo ambazo ziko katika albamu yake hiyo ni Kingdom,Fukara,Hafirisiki,Simba Dume,Binaadamu n.k...

No comments:
Post a Comment