Wednesday, November 30, 2011

PAMOJA TUNAWEZA

Tarehe 1-12 ni siku ya ukimwi duniani,tukiwa kama tunajuwa kuwa kunajanga la ukimwi.so kuna muda tunatakiwa kutambuwa kuwa tunatakiwa kuelimishana kwa nyimbo.Ukiwa kama mdau ua media yoyote tunatakiwa kuungana na kuhukataa ukimwi.
Wimbo huu ni mkusanyiko wa wasanii toka morogoro, nia ni kutaka kujuwa kuwa ata wasanii wanatambuwa kuwa ukimwi upo. 

Chini ya ushilikiano wa studio ya TUFF RECORDS 
Na BFL:http://bongoflavalink.blogspot.com/

kwa mawasiliano 0766222244 ua GQ 0657659969
DOWNLOAD AND LISN

No comments:

Post a Comment