Friday, November 4, 2011

STEVEN KANUMBA MPAKA HOLLYWOOD.........












kwenye picha ya kwanza, aliyeshika Camera ni mshindi wa tuzo ya best cinematograph katika tuzo za American cinematograph mwaka jana CHASE BOWMAN.
KANUMBA ameandika ”HAPA TUNAREKODI TRAILER TU YA MOVIE ITAKAYOREKODIWA MWAKANI MWEZI WA TATU, NI movie YA KIAFRICA INAYOREKODIWA GHANA,DUBAI,AFRICA KUSINI NA NEW YORK MAREKANI ILA MENGINE YOTE YANAYOBAKI NI KUTOKA HOLLYWOOD (hapa ninavyowajua wabongo tutabishaaaa,tutapondaaaaa ila ukweli ndio huu kubali kataa)” alisemaKanumba.                                                                                                                                    










NI MOVIE KAMA TOSIya afrika kusini,AU SARAFINA, AMBAYO WAKATI WA SHOOTING MWAKANI KUTAKUWA NA MASTAA WAWILI AU MMOJA TOKA HOLLYWOOD (SIMTAJI JINA KWA SASA) NA AFRICA WAMECHANGANYA WAIGIZAJI MBALI MBALI TOKA GHANA,NIGERIA,TANZANIA NA AFRICA KUSINI, ameongezaKANUMBA
wabongo pekee waliochaguliwa kuicheza hiyo movie, ni KANUMBA na Monalisa ambae nae yuko Ghana.

No comments:

Post a Comment