SHETTA ATOWA SHUKULANI KWA WADAU..........
ebana mambo vipi ndugu zangu......!kila kitu kipo poa nipo kwa ajili ya kiyu kimoja tu kwanza napenda kumshukuru mungu kwa kunipa afya njema mpaka lengo langu jana limetia pia napenda kuwashukuru sana watu wote waliojitokeza jana pale club billicanaz na kusababisha kuvunja record kwa sababu taingia club ile ijengwe hakujawahi kutokea kujaa watu kama vile na pia nawashukuru wasanii wenzangu wote waliojitokeza pale kunipa support mana bila wao pia isingekua kitu.........nawapenda wote dastamina bby n dats watsup.....oghey
No comments:
Post a Comment