LINAH amesema ameisikia track na ni nzuri sana, na alianza kuipenda toka AMINI anaanza kuiandika, kwa sababu kipindi hicho bado walikua wote kwenye mapenzi mazito, na ndio moja ya sababu zinazomfanya aamini kwamba mistari ya huo wimbo HAIMUHUSU.
japokua hajamtaja ni mpenzi yupi, AMINI ameamplfy kwamba wimbo huo wa SIKUMANYA una historia ya kweli ya maisha yake ya MAPENZI, ambapo ndani ya huo wimbo kuna mashairi ambayo yanasema UNGESUBIRI TUKIO KISHA HUKUMU NDIO UNGENIPA, sikufaham kama ungekuja kunikana baada ya uvumilivu kukushinda.
Mapenzi ya Linah & Amini yaliuza sana kwenye vyombo vya habari vya bongo, hasa kwa sababu walikua wadogo na walionekana kuwa na malengo yenye nguvu.

Baada ya kuachana, Linah alidai kwamba sababu kubwa ya kumuacha Amini, ni kipigo alichokua anapewa na Amini.
Lakini baadae baadhi ya watu walio karibu na Linah ambao walizungumza kwamba, Linah amemuacha Amini kwa sababu amepata mpenzi mpya ambae anauwezo mkubwa wa kifedha taarifa ambazo alizikanusha baadae.
No comments:
Post a Comment