Monday, November 7, 2011

Lamar anapoamua kushika Mike noma...........

LAMAR
Top producer anayekimbiza ile kinoma kwasasa hapa Bongo, namzungumzia 'Lamar' toka Fish Crab, anatengeneza news hii leo kuwa anaanza rasmi kushika mike kama msanii.
Lamar ambaye kwa mara ya kwanza mwaka huu alichukua tuzo ya muziki ya Kilimanjaro ya Mtengenezaji Bora wa Nyimbo (Prodyuza Bora), ameshaanza matengenezo ya kazi yake mpya ambayo anatarajia kuiachia hivi punde.


"Nina vipaji vingi si utengenezaji wa muziki pekee, kama mashabiki na wafuatiliaji wa nyimbo zote nilizowahi kutengeneza watakumbuka, nimekuwa nikitoa vionjo mbalimbali mwanzoni mwa nyimbo hizo au video zake,"
Anaitaja track anayotaka kurelease soon kuwa ni 'I Love You

No comments:

Post a Comment