 Ilikuwa  ni Jumatano Nov23, 2011 katika sherehe za Thanksgiving nchini Marekani ambapo  muimbaji Jose Chameleone toka nchini Uganda alikamua.
Ilikuwa  ni Jumatano Nov23, 2011 katika sherehe za Thanksgiving nchini Marekani ambapo  muimbaji Jose Chameleone toka nchini Uganda alikamua. Mamia  ya watu walifurika kuja kumuangali Msanii huyo toka Nchini Uganda kwa jina  maarufu la Jose Chameleone, ana nyimbo zake, ikiwemo Mama roda, Jamila analia,  na nyingi nyingi.
Mamia  ya watu walifurika kuja kumuangali Msanii huyo toka Nchini Uganda kwa jina  maarufu la Jose Chameleone, ana nyimbo zake, ikiwemo Mama roda, Jamila analia,  na nyingi nyingi. Muziki  unaponoga warembo mikono juuuu!!!
Muziki  unaponoga warembo mikono juuuu!!! 
No comments:
Post a Comment