
Mmiliki wa Studio za B hits Hermy B ameandika kwenye Profile yake ya Facebook leo akimlalamikia msanii Joh Makini kwa kutoweka Crdt zozote za Studio audio hiyo iliporekodiwa wala crdt za prod. kama inavyosomeka picha na ujumbe aliopost Hermy B leo asubuhi ulisema ivi

No comments:
Post a Comment