Friday, November 4, 2011

AFANDE SELE AFATA NYAO ZA SWAIBA WAKE 20%

Mwanamuziki wa kizazi kipya wa muda mrefu Seleman Msindi ‘Afande Sele’ amefuta nyayo za msanii mwenzake ambaye pia swahiba yake mkubwa Abbas Khamis kinzasa ’20 Percent kwa kutunga filamu na kuigiza, filamu hiyo inakwenda kwa jina la Mama, filamu hiyo imeigizwa Mkoani Morogoro nyumbani kwao Afande huku yeye mwenyewe akishiriki katika kuigiza filamu hiyo.

No comments:

Post a Comment