Monday, November 28, 2011

ABOOD MEDIA YAUNGUWA ALFAJILI YA LEO




 Kwa Habari toka kwao inasema kuwa moto huo uliaza muda wa halfajili na kufanikishwa kuzima muda wa asubui.Habari zinasema kuwa sehemu kubwa iliyo teketea na moto ni sehemu ya kutayalishia Habari za TV. Meneja wa Abood Media anasema kuwa Radio na Tv vitakuwa hewani muda si mrefu kutokana na mafundi kuendelea namatengenezo ........



No comments:

Post a Comment