![]() |
LAWIZE |
LAWIZE ft TUNDAMAN -TURUKE
Click here to listening for promo ONLY
Lawize akiwalalamikia Tip top Connection kwa kumuibia wimbo wake.Wimbo wa Tip top uitwao Goma la Manzese, Leo hii dogo kaamua kutoa wimbo wake huu akimshirikisha Tundaman.Tafadhali tumpe sapoti sana na pia nimeambatanisha na interview ambayo anazungumzia sakata zima.
LAWIZE-interview
Click here to listening
No comments:
Post a Comment